
Kazi za Ujenzi Zilizoheshimu Mazingira ya Asili
Kila siku binadamu anafanya shughuli mbalimbali katika kuandaa au kutengeneza mazingira bora kwa ajili yake kuishi. Kazi hii zinahusisha ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji, makazi, viwanda, ofisi n.k. Hata hivyo, shughuli hizi za binadamu hupelekea uharibifu mkubwa wa mazingira ya asili ikiwemo misitu, mito, milima, wanyama, maziwa, hewa n.k Wapo watu waliolitambua hili na kuamua kufanya kazi zao kwa kuzingatia kulinda na kuheshimu mazingira ya asili. Karibu utazame picha kadha wa kadha zinazonyesha kazi hizo.
1. Nyumba ya duara iliyojengewa kwenye mti huko Tokyo, Japan 2. Mgahawa wa kahawa huko Shanghai, China 3. Mti katikati ya nyumba huko Almaty, Kazakhstan 4. Mti kwenye hoteli huko Izmir Uturuki 5. Nyumba ya makazi huko West Virginia 6. Nyumba iliyojengwa katik...










