Fahamuhili ni tovuti inayolenga kutoa maarifa yatakayo wawezesha wasomaji wake kuboresha maisha yao katika nyanja mbalimbali kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Tovuti hii inatoa maarifa na mbinu mbalimbali kwa lengo la kuboresha maisha ya wasomaji wake bila kuwatoza gharama yoyote.
Tovuti hii pia itachapisha habari na makala zenye tija kwa wasomaji bila kusahau kuwajulisha wasomaji wake fursa mbalimbali katika jamii yao. Tovuti hii pia itatoa msaada wa ushauri bure kwa wasomaji wake.
Wasilina Nasi:
fahamuhili[at]gmail.com
Ningependa kuchangia makala fupi. Ila naomba ukiridhia unieleweshe zaidi kidogo kuhusu (wa)mdhamini wa fahamuhili. Yaani, ni jumuiya ya kijamii au ya kidini? Au tuseme mnafanya tu kama “utumishi kwa wote”? Asante
Karibu sana (https://www.fahamuhili.com/andika-makala/); haidhaminiwi na yoyote ina bidhaa isiyo ya kibiashara ya kampuni inayotoa huduma za teknolojia. Asante sana kwa maoni yako ya thamani; karibu sana Fahamuhili.com