Rangi 11 za Mkojo na Maana Zake Kwenye Mwili wako - Fahamu Hili
Thursday, February 21Maarifa Bila Kikomo

Rangi 11 za Mkojo na Maana Zake Kwenye Mwili wako

Washirikishe Wengine Makala Hii:

Ni watu wachache sana ndiyo hupenda kuchunguza rangi za mikojo yao. Lakini kiuhalisia rangi hizi zinaeleza mambo mengi kuhusu afya yako; Ikiwa hunywi maji ya kutosha au una maradhi fulani, basi utafahamu kupitia rangi hizi.

Hapa chini kuna mchoro-taarifa (infographic) unaoonyesha kinachomaanishwa na rangi 11 za mkojo na nini unachotakiwa ufanye.

Rangi za Mkojo

Naamini sasa umepata maarifa; pia naamini sasa hutopuuzia tena kuchunguza mkojo wako. Je una swali au maoni yoyote? Tafadhali tuandikie hapo chini kisha washirikishe wengine makala hii. Usisahau pia kufuatilia ukurasa wetu wa Facebook ili kufahamu mengi zaidi.

ZINAZOHUSIANA

Washirikishe Wengine Makala Hii:

Tafadhali tuandikie maoni yako:

avatar