Kazi za Sanaa Zitakazokushangaza - Fahamu Hili
Thursday, February 22Maarifa Bila Kikomo
Shadow

Kazi za Sanaa Zitakazokushangaza

Washirikishe Wengine Makala Hii:

Kila mtu ana kipawa chake alichopewa. Inawezekana ni kuimba, kuchora, kucheza mchezo fulani n.k. Lakini wapo watu ambao wamevitumia vipawa vyao kwa kiwango kinachostaajabisha wengi. Wapo waliofanya kazi kama vile ubunifu wa picha na maumbo kiasi cha kumfanya mtazamaji kushindwa kutofautisha kitu kilichosanifiwa na halisi.

Fuatilia ukurasa huu mara kwa  mara kwani nitakuwa nikiweka kazi mbalimbali za kushangaza zilizofanywa na wabunifu mbalimbali. Anza kwa kutazama hizi zifuatazo hapo chini; pia kama una maoni, ushauri, swali, au kazi ambayo ungependa ionyeshwe hapa basi usisite kutujulisha. Karibu.

Kumbuka hapa hatuonyeshi kazi feki zitokanazo na uhariri wa kompyuta! Ikumbukwe kuwa umiliki wa kazi hizi utabaki kuwa wa wamiliki na si vinginevyo. Ikiwa msanii hapendi kazi yake ionekane hapa anaweza kuwasiliana nasi tuiondoe.

Uchoraji wa Simu, Yai, Kijiko na Balbu

Kupamba Eneo la Kuwekea Televisheni

Uchoraji wa 3D Hatua kwa Hatua

Ubunifu wa Kupanga Sarafu Kutoka kwa Mbunifu wa Japan

Naamini zimekuburudisha na kukushangaza. Karibu utupe maoni yako pia uwashirikishe wengine.

0 0 votes
Pendekeza Ubora wa Makala Hii
Washirikishe Wengine Makala Hii:
Subscribe
Notify of
guest

0 Maoni
Inline Feedbacks
View all comments
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x