Uongozi Archives - Fahamu Hili
Saturday, April 20Maarifa Bila Kikomo
Shadow

Tag: Uongozi

Sifa 10 Zitakazokufanya Kuwa Kiongozi Bora

Sifa 10 Zitakazokufanya Kuwa Kiongozi Bora

Maendeleo Binafsi
Je kiongozi bora ni yule mwenye wafuasi wengi au miaka mingi katika uongozi? La hasha, kiongozi bora hujengwa kwa sifa anuwai. Ni rahisi kufikiri kuwa kiongozi bora hutokea kwa bahati tu au hakuna haja ya kujifunza jinsi ya kuwa kiongozi bora. Wewe kama mtu anayehitaji kusimamia na kuratibu shughuli mbalimbali ni lazima ufahamu sifa zinazomfanya mtu kuwa kiongozi bora ili uwe na mafaniko. Katika makala hii utaweza kufahamu sifa 10 zitakazokufanya kuwa kiongozi bora. 1. Uwazi Uwazi ni sifa muhimu inayomfanya mtu kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora ni lazima awe wazi katika utendaji kazi wake. Uwapo kiongozi kuna siri za kazi lakini namna ya utendaji kazi hautakiwi uwe siri au usioeleweka kwa wale unaowaongoza. Kiongozi bora anatakiwa kuwa na mpangilio mzuri na unaoeleweka wa utendaji k...